Umeshawahi kujua hili sababu nini??
Yaani ni sumu kwa makabila mengi sana wakisikia unaoa mwanamke
alie na elimu ama ya kukukaribia ama amekuzidi yaani n shida tupu
watakutajia matatizo yao na kuyalinganisha na hao waliosoma wengine
wanasema hawanaheshima wengine wanasema utaletewa mwenza nyumbani
je umewahi kuyakuta haya ndugu uliechukua chombo kilichoenda shule

zamani walikuwa wanadai ukiwa na aliesoma wengi wanashauri ukajenge
kwao na kuacha kujenga kwa mwanaume je hii ni kweli..ingawa ujenzi ni
swala lenu wawilialiitaji baba mkwe wala bibimkwe ila kwa wale wenye uzoefu
si vibaya ukaleta hali halisi ya ukweli aijalishi unalazwa nje ama unapewa unyumba
mara moja kwa wiki najua hili litakuja kuwa muwazi na wale wanaoishi kwenye
furaha ikiambatanishwa na kuheshimiana kusaidiana mnasemaje kwa hili??

Vigezo na masharti kuzingatiwa